2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🏠APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA Tsh 200k
SIFA ZAKE;
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA ..KIMOJA MASTER
SEBULEE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC
💰BEI;LAKI 2 X MIEZI 6
SERVICE CHARGE ELFU 15
🛣LOCATION;KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA BARABARAN KM 2…USAFIRI BAJAJI 100