2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐จ๐ฅ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐ Eneo: Kimara Korogwe
๐ Umbali: Kutoka standi ya mwendo kasi ni takriban 1km โ usafiri wa boda ni Tsh 1,000 au dakika 15 kwa miguu kufika nyumbani.
๐ SIFA ZA NYUMBA
๐ธVyumba viwili (kimoja ni Master)
๐ธ Sebule kubwa
๐ธJiko la ndani
๐ธ Choo cha ndani (Public Toilet)
๐ธ Umeme Luku yake binafsi
๐ธ Maji yanatoka ndani, yana mita yake
๐ธ Fensi na parking kubwa
๐
Inakuwa wazi kuanzia tarehe 30/10/2025 โ unaweza kuja kuangalia na kufanya malipo yanapokelewa.
GHARAMA
๐ท Kodi: Tsh 350,000 ร miezi 5 au 6
๐ท Malipo ya dalali: Tsh 350,000
๐ท Service charge: Tsh 15,000
#Piga_simu ๐
# .&Whatsapp๐
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐
##0655256419