2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
ZIPO APARTMENT 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA
KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA PIND ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
========₹₹
#VYUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
.
CONTACT
0742260844
0657384670