2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT ##450K### IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL. 
APARTMENT HII BADO INA MPANGAJI NDANI RUKSA KUONA  NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO ITAKUA WAZI TAREHE  20/3/2025.
.................
Ina vyumba  2 vya kulala vyote master bedrooms 
Sebule kubwa 
Jiko la kisasa 
Rezev Simtank 
Tails ###gypsum 
Madirisha Aluminium 
Umeme Luku inajitegemea 
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Full paving block ,Good Environment ,ulinzi na usafi &  parking space kubwa. 
-------
Kodi ni laki  450,000 /=
Kwa mwezi. 
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba. 
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
0713661530_0783661530



















