2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥KODI YAKE 250K X 6
🏘️ SIFA ZA NYUMBA::->👇
🔸VYUMBA 2 VYA KULALA
🔸PUBLIC TOILET SAFI YA NDANI.
❌HAKUNA MASTERBEDROOM❌
🔸SEBULE KUBWA SANA
🔸FULL "A/C" AIR CONDITION
🔸JIKO KUBWA SAFI
🔸TILES
🔸GIPSUM
🔸SLIDE WINDOWS
🔸LUKU NA METER YA MAJI SAFI DAWASA INAJITEGEMEA
BILA KUSAHAU VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI YA NGUO
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
BAJAJI TSH 700/=
PIKI PIKI TSH 1000/=
SERVICE CHARGE 15K
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA..
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363