2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
=================
KODI NI 800,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
================
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1
====================
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.3
================
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
================
SIFA ZAKE
===========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
==================
TILLES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL GARDEN FULL PARVING BLOCKS
================
FULL A/C
HEATER YA MAJI MOTO NA BARIDI
==============
METER YA UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
=================
NB:
NYUMBA NI MPYA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA
==============
ILIPWE SHILINGI LAKI NANE KWA MWEZI NA MALIPO NI MIEZI SITA
==================
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
==============
SERVICE CHARGE NI TZS.20000
================
CONTACT
0742260844
0657384670
.
KIUMBE REAL ESTATE AGENT
.
KAZI NA UAMINIFU