2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO NNE INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NDANI
🌀#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
🌀#MAJI DAWASA MITA YAKO NA SIMTANK LAKO
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PACKING SPACE KUBWA
đź’°BEI NI 300,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..USAFIRI BAJAJI 800..BODABODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710