2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KUBWA SANA NZURI MNO KALI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO AU UNAWEZA PITIA TEMBONI
KODI 300,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA MNO
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
ZIPO MBILI TU KWENYE COMPOUND MOJA
INAJITEGEMEA KILA KITU
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 3
BAJAJI 1000
DALADALA PIA ZIPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU #0625606710 AU 0783794666