2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI SANA MPYAAAA KABISA
================
ZINAPANGISHWA: LOCATION KIMARA KOROGWE
===============
ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI APA
===============
YA KWANZA
===========
#INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
#KODK NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
================
YA PILI
======
#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
==============
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
==============
IZI APARTMENT ZINAFIKIKA KWA GARI YA AINA YOYOTE
================
UMBALI NI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 50P UKISHUKA DK MOJA UPO NYUMBAN
=============
SERVICHAJ ELFU 15
==============
CONTACT
#0712348316WhatsAp
#0769680796β