2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT
NB:UNAWEZA KUTOA ADVANCE WAKATI UNASUBIRIA NYUMBA UWE WAZI
➖➖➖➖➖➖➖
MAHALI: KIMARA MWISHO 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖✴️
KODI:(350,000X6)
➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
◾VYUMBA VIWILI
◾VYOTE MASTER
◾SEBULE KUBWA
◾JIKO LENYE MAKABATI
◾PUBLIC TOILET NZURI 🚻
◾NDANI YA UZIO
✴️LUKU YAKO
✴️MAJI YANATOKA NDANI
✴️PARKING SPACE KUBWA 🚘
NB: ITAKUWA WAZÍ TAR 15/05/2025 KUONA NA KULIPA RUKSA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 200,000 × 6
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO(CHOO CHA NDANI)
#KIBARAZA
#UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
#JIKO.LENYE MAKABATI
KODI 200,000 × 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI ST.JOSEPH UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MOROGORO KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.2USAFIRI NI 1000 TU
BODABODA
DISTANCE: DAKIKA 15-20 KUTEMBEA 🚶🚶
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp