2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI MSELELEKO KABISA NI 250,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250,000/= X 6
🏡🏡 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258