2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI WA DK 10 MPKA 15 TU KWA MIGUU TOKA MOROGORO ROAD
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM SAFI
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZUR SANA KWA WATOTO
SERVICHAJ ELFU 15
#CONTACT
#0742260844
#0657384670