2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA TEMBONI DK 3-5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO
➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 28/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💫 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIWILI VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI
#AIR- CONDITION
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI SIO GOROFANI
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453