2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI#350k
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
====
Bei:350,000 Kwa mwezi ร 6
====
Umbali KM 1.3 Usafiri bajaji 500 Boda boda 1000
===
Apartments zipo 2 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
====
Ndani ya fence parking nikubwa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
=== 0712474756