2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 200,000  x  3 )  KIMARA MWISHO  APARTMENT NZUR YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO (  2 ) KWENYE COMPAUND MOJA
UMBALI  WA KILOMETA ( 2 ,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA 
BAJAJ  BUKU
VYUMBA 2  VYA  KULALA KIMOJA WAPO  MASTER  SEBULE  KUBWA JIKO  LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES  GPYSUM  SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343



















