2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







450,000 x6. 0679 956 863 WSP 0781 418 437 pg โฅ๏ธ
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UKIWA UNATOKEA MJINI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
MPANGAJI ANAHAMA KIKAZI KWENDA MKOANI NYUMBA ITAKUA WAZI TAREHE 30 /4/2025 AU KABLA YA MWISHO WA MWEZI ,IVYO KWA SASA UTAWEZA KUONA NDANI ๐ SOMA KWA MAKINI NA ZINGATIA MAELEZO. ๐
--------
SIFA ZA NYUMBA =
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa
Rezev Simtank
Tails ##gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Ulinzi na Usafi kuzunguka Mazingira ni gharama ya mwenye nyumba .
Ndani ya fensi Peving block Parking space kubwa.
---
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000.
-----
NYUMBA HII MALIPO NI MIEZI SITA NA SI CHINI YA HAPO. 0679 956 863
0781 418 437
0759151524