2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/=X4
AU 250,000X6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING ZIPO 2 TU NAHIMOJA NDOIPOWAZI
BEI NI 300,000/= X 4
AU 250,000X6
🇹🇿 IPO KIMARA MWICHO PIA UNAWEZA UKAPITIA KIMARA STOPU OVALI
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
NJIA ZOTE NI NZURI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONA NYUMBA EFU 15
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa