2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA TEMBONI
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 Kutoka Kituoni
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
โข Jiko Kubwa
โข Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo 0677370515