2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
IPO #KIMARA_KOROGWE_KILUNGULE
WAI MAPEMA NDO MTU ANATOA VITU SA IVI
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
KILA APARTMENT APA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW NDANI
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI
UMBALI WA KM 1,3 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 5 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI