2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
Zipo 4 Kwenye Fence
LOCATION: KIMARA KOROGWE
AU UNAWEZA PITIA KIMARA MWISHO
KODI 400,000 ร 3
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#MAJI METER YAKO
#YANAFLOW NDANI 24HRS
#RESERVE TANK
#UMEME LUKU YAKO
#UMBALI KM 1.2 BODA 1000
#KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
#NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA ๐
FULL PAVING BLOCKS ๐ซ
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp