2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO SEHEMU NZURI SANA INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= X 6
======
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI YA NGUO NDANI
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= X 6
=========
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI,DALADALA,TAX AU BAJAJI NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
========
CONT
0683234124
0718367179