2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Bucha, Dar es Salaam
🕑Dakika 5 Kutembea Kutoka Morogoro Main Road
📌Hii Inakuwa Wazi Tar 25/09/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Hakuna Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet ya ndani
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fence Iko Nusu lakini Usalama ni Mkubwa na Parking Space salama Ipo. Na Kuna Mlinzi Kabisaa
♦️Kodi Tsh 350,000/=×6(Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊