2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA MWISHO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Umbali wa Dakika 10 Kutembea kwa Mguu kutoka Main Road Barabara ni Nzuri.
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa
• Public Toilet nzuri ndani
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 400,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu
CONTACT US:-
0716223412
0683597453