2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) #KIMARA_MWISHO
Apartment Nzuri Inapangishwa Kimara Mwisho
Bei: 300,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Km 1 Kutoka Mwendokasi, Pikipiki 1000
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300
#NB: Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏