2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


MABADILIKO YA BEI
KWA SASA KODI 400,000/=x6
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 12 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
KODI 400,000 X 6
ZIPO MBILI TU NDANI YA FENCE
HII MOJA NDIO IPO WAZI
Contact
0754344786
0652472014