2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X "6"
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
AKUNA MASTER BEDROOM
#PUBLIC TOILET YANDANI UMO UMO
#SEBULE KUBWA SANA YA KUJIACHIA
#JIKO KUBWA NZURI LA KISASA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA MWENYEWE
#NYUMBA IPO NDANI FENSI KUBWA
#PARKING SPACE IPO KUBWA SANA
BEI NI TSZ 250,000/= X "6"
CONTACT US:07
WHATSAPP:07
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM.1 TU KUTOKA STAND NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37