2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🏘️APARTMENT NZURI SANA, ZA KISASA MPYA KABISA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥KODI YAKE 300K X6
HAPA ZIPO 2, UPANDE WA JUU,
NA UPANDE WA CHINI,,
NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU, UMEME NA MAJI SAFI DAWASA..
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA, VYOTE NI MASTER BEDROOMS
#SEBURE SAFI
#JIKO SAFI
PARKING SPACE KUBWA SANA NDANI YA FENCE
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 700/=
PIKI PIKI TSH 1,000/=
SERVICE CHARGE 15K.
YA JUU NDIYO IPO WAZI
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363