2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYAA KABISA HII INAPANGISHWA 350K
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 2
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI NA NJEE
KODI 350,000 × 6
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE YA WAYA
USALAMA KAMA LUGALO
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
USAFILI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
UMEME WAKO
MAJI METER YAKO YANAFLOW NDANI 24HRS
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA ☎️