2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kiseke, Mwanza
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA KISEKE
-ina vyumba viwili vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-umeme na maji unajitegemea
-kodi ni 375,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi 6
☎️ 0743220097