2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam







APARTMENTS MPYAAA KABISAA INAPANGISHWA MADALE DK 2 TOKA LAMI NA NJIA NZURI SANA
__
HAPA TAR 1/1/2026 NDIO KUINGIA, MALIPO NA KUONA NJOO
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko linafungwa makabati
Store
Choo cha familia
Parking
Gardens
Maji na umeme mita yako
Ac
Heater
__
Kodi 700,000/= × 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
___
PIGA SIMU
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















