2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam


#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧LOCATION :: MADALE MIVUMONI
💧Bei :: 800,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍AC Kwenye Master na Chumbani
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Fence
NB: HULIPII MAJI, ULINZI NA USAFI
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0685 006223
0718 759287
Call /Whatsapp
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA