2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam


🏢 APARTMENTS ZA KISASA ZINAPANGISHWA – MADALE | TSH 800,000 kwa mwezi
Furahia maisha ya utulivu kwenye apartment nzuri na salama zenye huduma kamili!
📍 Mahali: Madale – Km 1 kutoka barabara kuu ya lami
🏠 Muundo wa Apartment:
🛏️ Vyumba 2 (1 ni master)
🛋️ Sebule yenye nafasi
🍽️ Jiko na dining
🚽 Public toilet
✅ Huduma Zilizopo (Zimejumuishwa kwenye kodi):
🛡️ Ulinzi wa uhakika
🧹 Usafi wa mazingira
💰 Kodi: TSh 800,000 kwa mwezi – Ulinzi na usafi vimejumuishwa
📞 Wasiliana 0782428327