2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam


Apartment kali sana inapangishwa:
Room 2 moja self
Sebule kubwa sana open kitchen
Public toilet na maji dawasco
Kodi- laki 5 kwa mwez
Location- madale mivumoni
Umbali-km 1.5 kutoka main road madale mwisho
Karibuni
Dalali Tegeta 0718809744