2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mahina, Mwanza
APARTMENT INAPANGISHWA MAHINA
-ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-umeme x maji unajitegemea
-kodi Mil 3 kwa mwaka
-malipo ni miezi 6
☎️ 0743220097