2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo Kwenye Fence)
Location :: MAKONGO JUU
Distance: DAKIKA 1 LAMI 🚶🚶
Price: 800,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba Viwili (Kimoja Ni Master)
🌡️Sebule Kubwa Sana
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fenced
🌡️Cctv Cameras 📷
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp