2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro


.
#MBEZI_MWISHO_NJIA_YA_MPIJIMAGOWE
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
UMEME NA MAJI VIPO UMBALI KM 2. KWAGARI BAJAJI MIASABA
BEI NI 250,000/= X 6
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347