2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







#VYUMBA_VIWILI VYA_KULALA#
INAPANGISHWA#APARTMENT#
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- #KIMARA_MWISHO
———————————————————
KODI TSHS LAKI 500,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA ZIPO TATU KWENYE FANCE MOJA
______
YENYE:-
Vyumba viwili kulala, kimoja #Master #Sebule kubwa SANA Jiko kubwa, #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
UMBALI WA KM 1.5 KWAGARI PIKIPIKI SH 1000 BAJAJI MIASABA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO
0747997630
0658884015
0679997610
Msigwa