2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#HAKUNA JIKO
#KORDO KUBWA NDANI
#KIBALAZA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
📌IPO NDANI YA FENSI ILA HAKUNA PARKING (NO PARKING)
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA USAFIRI UPO MUDA WOTE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347