2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro
Apartment iyo ni nyumba ya vyumba 2 sebule jiko
@
Vyumba vyote ni masta
@
Inapangishwa sh laki tatu na nusu
@
Kodi ya miez 6 na dalali 7 ipo maeneo ya urafiki
@
Umeme na maji inajitegema gara ndani
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550/ 0693184744
&
Namba ya wasp 0659848687