2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 16/07/2025 KUIONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
❌ HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347