2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fde7eb541-597e-4bb1-b9bd-8e0e4a9c78a2.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fde7eb541-597e-4bb1-b9bd-8e0e4a9c78a2.jpg&w=256&q=75)
![media -2 media -2](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fdb047eb9-60fe-40f1-8b8a-599f57a2e30c.jpg&w=256&q=75)
![media -3 media -3](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F17334138-9bbb-4138-b380-6a9d3587e4d6.jpg&w=256&q=75)
![media -4 media -4](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F49a47e6c-5083-4090-bc04-9e1b642914b3.jpg&w=256&q=75)
![media -5 media -5](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fd838d815-49e2-4eda-8428-138743d166c4.jpg&w=256&q=75)
![media -6 media -6](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F1bcfe16d-6e58-4294-8fcb-4416f7b11def.jpg&w=256&q=75)
APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 3
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT MBILI TU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 400,000/= X 3 ULIPE YA MIEZI MITATU TU NA PESA YA TAHAZALI LAKI MBILI 200.000/
APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI MITA MIA SITA UNATEMBEA KWA MIGUU DAKIKA NANE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
HII NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347