2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala maji matitu, Apartment ina rooms 2 vyakulala sitting room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, tiliz, madilisha vioo, unajitegemea umeme luku yk pamoja na maji pia mita yk, na fensi ya parking ipo. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.