2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea, nyumba ipo mbagala chamazi magengeni location st emanuel mapunda Road. Apartment ina rooms 2 vyakulala, sitting room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, fensi ya parking ipo, unajitegemea umeme luku yk pamoja na maji pia mita yk. Wapangaji jumla wapo 2 tu basi. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga 071925 0426.