2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea, Nyumba IPO mbagala mbande kisewe stendi. Apartment ina rooms 2 vyakulala sitting room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, tiliz, madilisha vioo, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, fensi ipo ya parking. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.