2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment zinapangishwa mbezi malamba mawili
Vyumba viwili kimoja master
bedroom
Kodi yake laki 450,000 x miezi 6 njoo miezi inaongeleka
Dalali hela ya mwezi mmoja 1 ukilipia nyumba
Sebule kumbwa
Jiko kumbwa zuri makabati yapo
Public toilet
Umeme wako
Maji yako
Peving block
CCV kamela
Kutoka barabara ya rami dk 1 tu uko kwenye nyumba
Kuoneshwa nyumba 20,000/=
O677370515