2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 370,000

APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI

SEHEMU 'A'

#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING

BEI NI 370,000/= X 3

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA)

๐Ÿ“Œ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/12/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

SEHEMU 'B'

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 250,000/= X 3

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA

๐Ÿ“ŒHII SEHEMU 'B' IPO WAZI TAYARI

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA ZIPO MUDA WOTE

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Kwa maelezo zaidi piga :---

0712528820
0685221354

Mr.

ubungo  ๐Ÿ”ฅ Riverside
dalali_riverside
ubungo ๐Ÿ”ฅ Riverside

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KIBANDA CHA MKAA KM1.5 KUT...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–NYUMBA KUBWA YA FAM...

NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 ๐ŸŒŸ NYU...

400,000x6. 0759151524NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 ๐ŸŒŸ NYU...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

NYUMBA YA KUPANGA MBEZI MWISHO NJIA YA MARAMBA =======================CHUMBA MASTER KODI 100ร— 3 *CHU...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–NYUMBA KUBWA YA FAM...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

Apartment Classic For Rent โœจ๏ธ Zipo 4 Kwenye Fence Location: MBEZI KWA MSUGURI Upande Wa Kulia Kama U...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 ๐ŸŒŸ NYU...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

Plot for sale Country:- TanzaniaCity:- Dar es salaamLocation:- Mbezi beach Jogoo near Aficana (Upand...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

Plot for sale Country:- TanzaniaCity:- Dar es salaamLocation:- Mbezi beach Jogoo near Aficana (Upand...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

Apartment House for rent 2roomsPrice 700,000Kwamwezi Malipo miezi 6Location mbezi beachUpande wachin...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

IMESHUKA BEI__STAND ALONE YA KIFAMILIA INAPANGISHWA MBEZI MALAMBA DK 2 TOKA LAMI.\n_________________...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 280,000X4x5x6๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO MBEZI MWICHO...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 4 TU NDANI YA FENSI LOCATION:MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KWA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 280,000X4๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO MBEZI MWICHO BAL...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

(120,000X3)MBEZI LUGURUNI 3KM BAJAJI 1000โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #120k...