2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
400,000 KWA MSUGURI
DK 10 KWA MIGUU
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedrooms sebule jiko na public toilet
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
Umbali dakika 10
Kwa miguu
Kutoka Morogoro road
fence itajengwa wai sasa inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Itakuwa teale kwa kuamia talehe 25/10 /2024
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37