2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA

APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA USAFIRI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#GARDEN

BEI NI 450,000/= X 6

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 10 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

0716 776247
0754 221168

Dalali Ubungo Tz
dalali_ubungo_tz
Dalali Ubungo Tz

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

Repost Dalalimbezibeach_semba #VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM T...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH UPANDE W...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

(100,000X4) MBEZI KWA MSUGURI===Chumba MASTER SebuleUNASHEA METER YA UMEME NA MAJI PIABei:100,000 Kw...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 2,500,000

NICE APARTMENT RENT(SHORT-TERM)LOCATION: MBEZI BEACH PRICE : 2.5M PER MONTH PAYMENT: MONTHLY ADVAN...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 2,500,000

NICE APARTMENT RENT(SHORT-TERM)LOCATION: MBEZI BEACH PRICE : 2.5M PER MONTH PAYMENT: MONTHLY ADVAN...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

#VYUMBA_VTATU INAPANGISHWA INAJITEGEMEAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH AFRICANA______________...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

#PLOT_FOR_SALE#LOCATION: MBEZI BEACH RAINBOW BOTPLOT SIZE SQM: 800FULL TITLE DEEDPrice: MILLION 300d...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 110,000

APARTMENT FOR RENT Hii ipo Mbezi Kibanda Cha Mkaa Dsm 2 km #Hiki ni Chumba kimoja tu chenye choo n...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

House for rent Nyumba kali sana Mahali: Mbezi beach AfricanaBei: 1,00,0000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 110,000

APARTMENT FOR RENT Hii ipo Mbezi Kibanda Cha Mkaa Dsm 2 km #Hiki ni Chumba kimoja tu chenye choo n...