2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


*NIMESHUSHA BEI NA MIEZI NJOO NA MIEZI 3 UKAE HAPA*
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA UMBALI WA DK 15 KWA MGUU
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom wastani
Seble Ndogo
Jiko
Public toilet
Ac/AIR Condition vyumba vyote
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×3,4,5,6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
____