2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA
INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 5
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE
#NO JIKO
#PUBLIC TOILET NJE
#LUKU METER YA UMEME INAJITEGEMEA MAJI DAWASA UNASHEA BILI
BEI NI 180,000/= X 5
π«π« APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI 700 BODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
INAKUWA WAZI TAREHE 23/1/2025 KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
---